Skip to main content
Skip to main content

Kenya U-17 wanawake kukutana na Namibia kwenye mechi ya kufuzu Kombe la Dunia

  • | Citizen TV
    183 views
    Duration: 1:23
    Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake wa chini ya miaka 17 itachuana na Namibia kesho katika uwanja wa Ulinzi Sports Complex kwenye mechi ya marudiano ya mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia.