- 275 viewsDuration: 1:16Timu ya taifa ya wanaume ya raga ya wachezaji saba ilipata kichapo cha kusikitisha cha alama 26-22 dhidi ya Afrika Kusini katika robo fainali ya mashindano ya dunia ya sevens yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Kai Tak huko Hong Kong alasiri ya leo. Sasa Kenya itacheza mechi za kuwania nafasi ya saba itakayofanyika Jumapili.