29 Aug 2026 7:53 pm | Citizen TV 849 views Duration: 55s Kenya imeendeleza ubabe wake katika mashindano ya mbio za masafa marefu kwenye Mashindano ya 26 ya Dunia kwa Wanariadha Wakongwe yanayoendelea mjini Daegu, Korea Kusini.