Skip to main content
Skip to main content

Kenya yaimarisha sekta ya taasisi za fedha za maendeleo

  • | Citizen TV
    130 views
    Duration: 1:42
    Kenya inaendelea kupiga hatua katika juhudi za kuimarisha sekta ya taasisi za fedha za maendeleo, huku wadau mbalimbali wakitoa wito wa kuanzishwa kwa mfumo maalum wa kisheria na udhibiti wa taasisi hizi.