Skip to main content
Skip to main content

Kenya yaimarisha ufuatiliaji katika mipaka yake ili kuzuia kuingia kwa virusi vya Ebola

  • | NTV Video
    37 views
    Kenya imeimarisha ufuatiliaji katika mipaka yake ili kuzuia kuingia kwa virusi vya Ebola. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, lango kuu la kuingia nchini, ukaguzi umeongezwa, ambapo lango nambari 16 limetengwa kama kituo cha kutenga abiria wanaowasili kutoka mataifa yenye hatari kubwa. #NTVWikendi @loftymatambo @MwakaFridah Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya