- 6,842 viewsDuration: 2:48Kwa miaka mingi, Kenya imekuwa kimbilio la wakimbizi wanaotoroka mataifa yao kutokana na vita, hasa katika eneo la Afrika Mashariki. Hata hivyo, hatua ya Rais William Ruto ya kutaka wakimbizi wanaofanya biashara katika Jiji la Nairobi kuondoka imeleta hofu kuhusu nafasi ya Kenya katika kanda hii. Kenya ni mwenyeji wa takriban wakimbizi milioni moja.