Skip to main content
Skip to main content

Kenya yalenga kufikia viwango vya kimataifa vya WHO

  • | Citizen TV
    384 views
    Duration: 2:05
    Waziri wa afya Aden Duale adokeza kuwa Kenya yalenga kufikia kiwango cha tatu cha ubora wa afya katika sekta ya udhibiti wa matumizi ya dawa , hatua ambayo itasaidia taifa kuwekeza zaidi katika viwanda zaidi nchini.