- 3,830 viewsDuration: 4:40Kenya sasa inatafuta wawekezaji kuwekeza katika mradi wa nyumba ili kufadhili ujenzi wa nyumba kwa kima cha shilingi bilioni 400. Ujumbe wa serikali ulioko Baku ukiongozwa na Waziri wa Ardhi Alice Wahome pamoja na Katibu wa Nyumba Charles Hinga umefanya vikao na wawekezaji wakilenga kupata ufadhili katika Hazina ya Nyumba