- 1,710 viewsDuration: 2:59Mahakama Kuu mjini Nakuru ilirejelea kesi ya kutoweka kwa mvuvi Brian Odhiambo ambapo dereva wa gari linalodaiwa kutumika kwenye operesheni hiyo alipanda kizimbani. Dereva huyo, Abdulrahman Sudi, alikuwa na wakati mgumu kuelezea matukio ya siku hiyo ambapo kwa mara kadhaa alionekana kujikanganya. Chrispine Otieno anatuarifu zaidi.