- 5,793 viewsDuration: 3:44Viongozi wa Upinzani wameeleza Imani kuwa idara ya mahakama itaitupilia mbali misingi iliyotumika kumbandua afisini kinara wa DCP Rigathi Gachagua, kesi yake itakapoanza kuskizwa kesi hapo kesho. Wakizungumza kaunti Mombasa, Viongozi hao wamelaumu bunge la kitaifa na lile la Seneti kwa kuupitisha mswada wa kubanduliwa kwa Gachagua kwa misingi wanayotaja kuwa utepetevu, wakidai kuwa mabunge yote mawili yalitekwa. Kwengineko, kinara wa PLP Martha Karua na naibu kinara wa Jubilee Fred Matiangi wakiendeleza kampeni zao kaunti za Kirinyaga na Murang’a.