Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya kutimuliwa kwa Gachagua

  • | Citizen TV
    4,219 views
    Duration: 2:04
    kesi ya kutimuliwa ofisini kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua inaendelea katika mahakama ya milimani. Daktari wake aliyemtibu kabla ya kutoa ushahidi wake mbele ya bunge la seneti, daktari Dan Gikonyo wa hospitali ya Karen, ametoa ushahidi wake kortini. Kupitia mawakili wake, Gachagua aliiambia mahakama kwamba aliondolewa ofisini kinyume cha sheria na hivyo anapaswa kulipwa mshahara na marupurupu ya zaidi ya shilingi milioni 80, ya mienzi 35 ambayo angehudumu akiwa naibu rais katika muhula wa kwanza wa Rais William Ruto.