Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya mauaji ya Daktari Victoria Mutiso yaendelea

  • | Citizen TV
    1,127 views
    Duration: 2:03
    Kesi ya mauwaji ya daktari victoria mutiso inaendelea katika mahakama ya milimani. Daktari mutiso sliuwawa kwa kupigwa risasi hapa jijini nairobi. Sasa mshukiwa mkuu rose mbithe, anataka mumewe wa zamani dr. Ndetei mutiso achunguzwe kuhusu hatii ya kiapo aliyotia saini kortini.,