- 8,947 viewsDuration: 2:11Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua sasa anataka alipwe fidia na marupurupu ya ofisi ya naibu rais kwenye kesi inayoendelea kortini. Kupitia mawakili wake, Gachagua anadai kuwa alitimuliwa kinyume na katiba na hivyo bunge lilikiuka sheria kwenye mchakato huo. Gachagua alitimuliwa ofisini mwezi Oktoba mwaka wa 2024.