1 Jul 2026 10:14 am | Citizen TV 1,488 views Duration: 1:04 Kesi ya wanafunzi wanane wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Utumishi, wanaokabiliwa na mashtaka ya mauaji, kwenye mkasa moto ulioteketeza bweni la shule hiyo yatajwa tena katika mahakama ya kibra.