Skip to main content
Skip to main content

KFS kuanza ukusanyaji maoni kuhusu uwanja wa ndege Imenti

  • | Citizen TV
    537 views
    Duration: 1:54
    Baada ya Mahakama ya Meru kusimamisha kwa muda utekelezaji wa mradi wa uwanja mdogo wa ndege kwenye msitu wa Imenti, Kaunti ya Meru, Usimamizi wa idara ya Misitu KFS imetangaza kuanza kwa zoezi la kutwaa maoni ya umma kuhusu ujenzi huo. KFS imeratibu kufanya zoezi hilo wiki Ijayo