Skip to main content
Skip to main content

Kiambu: Mwanaume wa miaka 48 afariki dunia baada ya kuchomeka ndani ya nyumba

  • | NTV Video
    4,238 views
    Duration: 2:20
    Hofu imetanda katika Kijiji cha Kanunga baada ya mwanaume wa miaka 48 kufariki dunia baada ya kuchomeka ndani ya nyumba, huku zaidi ya familia mia mbili zikiachwa bila makao baada ya nyumba zaidi ya 50 kuteketea na kubaki majivu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya