Skip to main content
Skip to main content

Kichinjio cha punda chafungwa Kithyoko Kaunti ya Machakos baada ya malalamiko ya wizi

  • | Citizen TV
    3,932 views
    Duration: 1:37
    Kichinjio cha punda kilichopo Kithyoko, Masinga katika Kaunti ya Machakos, kimefungwa na Kamishna wa Eneo la Mashariki. Hatua hiyo inajiri huku wakazi wa eneo hilo wakilalamikia visa vya wizi wa punda.