Skip to main content
Skip to main content

Kifo cha Derrick Omanga: Familia yaakisi marafiki, polisi waendelea na uchunguzi

  • | Citizen TV
    5,068 views
    Duration: 3:02
    Familia ya kijana aliyetoweka na kisha kupatikana ameuawa Nairobi Derrick Omanga imeendelea kushinikiza kukamatwa kwa watu waliokuwa naye kabla ya kifo chake. Kulingana na familia, mara ya mwisho alionekana ilikuwa maeneo ya barabara ya Ngong akijivinjari kabla ya mwili wake kupatikana kando kando ya barabara huko Roysambu.