20 May 2026 10:16 am | Citizen TV 932 views Duration: 1:28 Kijana mwenye umri wa miaka 20 kutoka kijiji cha Kahawa-Lumukile katika eneo bunge la Tongaren afariki baada ya kuangukiwa na mti aliokuwa akiukata.