Skip to main content
Skip to main content

Kijana wa Miaka 20 Afariki Baada ya Kuangukiwa na Mti Tongaren

  • | Citizen TV
    224 views
    Kijana mwenye umri wa miaka 20 kutoka kijiji cha Kahawa-Lumukile katika eneo bunge la Tongaren Constituency alifariki baada ya kuangukiwa na mti aliokuwa akiukata jana.