- 418 viewsDuration: 1:40Kikundi kimoja cha wanawake Nairobi chakashifu dhulma dhidi ya wanawake hasa katika ulingo wa siasa. Kina mama hao wasema kuwa watashirikana kuwapigia debe wenzao watakaowania nyadhifa mbalimbali za kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao ili kutimiza uwakilishi wa angalau theluthi mbili wa kijinsia.