- 336 viewsDuration: 2:36Kampeni maalum ya kupambana na dhuluma za kingono na maambukizi ya virusi vya HIV imeanzishwa Kaunti ya Kilifi. Kampeni hiyo inalenga hafla za disco matanga na vikao vya harusi ili kutoa uhamasisho na kupunguza visa vya ukatili wa kijinsia pamoja na maambukizi ya HIV vinavyoripotiwa kuongezeka katika kaunti hiyo. Baadhi ya waathiriwa wameeleza kuwa safari ya kupata haki imekuwa ngumu kutokana na vikwazo vinavyokwamisha kesi mahakamani.