Skip to main content
Skip to main content

Kilimo Biashara | Sayansi yaimarisha uzalishaji wa nyama ya ng’ombe nchini

  • | Citizen TV
    1,364 views
    Duration: 3:20
    Sayansi na ubunifu kwenye uzalishaji wa nyama ya ng’ombe zinawawezesha wafugaji wa humu nchini kuboresha mapato yao. Katika kituo cha Taasisi ya Utafiti wa Mifugo na Kilimo Kalro, watafiti wanatumia sayansi kuboresha mifugo na lishe na kubuni malisho yanayostahimili mabadiliko ya hali ya hewa ili kuziba nakisi ya nyama nchini. Denis Otieno alizuru kituo cha Kalro katika Kaunti ya Nakuru na kututayarishia makala haya ya Kilimo Biashara.