Skip to main content
Skip to main content

Kilimo biashara | Wakulima Kiambu wanufaika na mpango wa kuinua kilimo

  • | Citizen TV
    383 views
    Duration: 3:17
    Wakulima katika Kaunti ya Kiambu wameanza kuvuna matunda ya mpango wa kuwawezesha na kuwainua baada ya kupokea vifaranga wa kienyeji walioboreshwa, nguruwe wachanga na mbegu bora Kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo. Mpango huo umechangia kuongezeka kwa uzalishaji na kuwepo kwa chakula cha kutosha pamoja na kuinua kipato cha familia nyingi katika eneo hilo.