- 242 viewsDuration: 3:47Wakulima katika maeneo ya ukame humu nchini wanazidi kutumia pembejeo zinazozingatia mabadiliko ya tabianchi pamoja na kilimo endelevu ili kujikinga dhidi ya hali ya anga isiyotabirika na kupungua kwa rutuba ya udongo. Katika Kaunti ya Machakos, mkulima mmoja anaunganisha mbegu zinazostahimili ukame na mbinu endelevu za kilimo ili kuhakikisha shamba lake linaendelea kuwa na uzalishaji mwaka mzima. Kwenye Kilimo Biashara leo