- 876 viewsDuration: 3:20Mabadiliko ya hali ya hewa yakiendelea kutatiza shughuli za kilimo na kuwaongezea wakulima gharama ya uzalishaji, baadhi ya wakulima sasa wanageukia kilimo cha kisasa. Katika kaunti ya Baringo, mkulima mmoja anachanganya teknolojia, uhifadhi wa maji na mazao yanayostahimili ukame ili kuimarisha uzalishaji licha ya hali ngumu ya mazingira. Kwenye makala ya wiki hii ya Kilimo Biashara...