- 11,244 viewsDuration: 2:11Familia moja katika eneo la Kikambala eneo bunge la Kilifi kusini kaunti ya Kilifi yadai haki baada ya mpendwa wao kuvamiwa na mbwa zaidi ya kumi alipokuwa akifanya mazoezi katika ufuo wa bahari na kujeruhiwa vibaya na baadaye kuaga dunia muda mchache baada ya kukimbizwa hospitalini.