- 1,288 viewsDuration: 1:46Mama moja kaunti ya Vihiga anadai haki baada ya mwanaume mwenye umri wa miaka sabini kudaiwa kumnajisi mtoto wake wa miaka mitano. Kulingana na mama huyo, mshukiwa ambaye ni mmiliki wa nyumba alikoishi mtaa wa Got kokech kaunti ya Homabay, bado hajakamtwa wiki mbili baadaye hata baada ya kuripoti kisa hicho kwa polisi mjini Homabay. stakabadhi za hospitali zinadhibitisha kuwa mtoto huyo alinajisiwa na kuachwa na majeraha mabaya. mama huyo na mwanawe wametorokea kaunti ya Vihiga baada ya kupokea vitisho kutoka kwa mshukiwa.