- 2,214 viewsDuration: 3:25Familia ya mwanafunzi aliyeaga dunia katika shule ya upili ya Nyabite kule Bobasi kaunti ya Kisii sasa inaomba wizara ya elimu kuwapiga jeki kushughulikia mpango wa mazishi baada ya ripoti ya upasuaji kuonyesha kuwa Kevin Moturi mwanafunzi wa kidato cha tatu aliaga baada kukosa hewa ya oksijeni moyoni