Skip to main content
Skip to main content

Kimbimbi yaomboleza waathiriwa wa ajali ya Murubara

  • | Citizen TV
    2,008 views
    Duration: 2:14
    Kijiji cha Kimbimbi, kaunti ya Kirinyaga kinaomboleza huku maandalizi ya mazishi ya watu sita kati ya wanane waliofariki kwenye ajali ya jana katika eneo la Murubara yakianza. Kati ya sita hao ni ndugu wawili waliokuwa safarini pamoja wakielekea kazini kabla ya ajali hiyo ya Murubara. Na kama Laura Otieno anavyoarifu, kijiji hiki cha Kimbimbi sasa kinasema kina hofu ya mzigo wa kuandaa mazishi ya wenzao.