Skip to main content
Skip to main content

Kina mama wa Malindi wageuza matambara kuwa chanzo cha mapato

  • | Citizen TV
    440 views
    Duration: 3:26
    Katika juhudi za kupunguza uchafuzi wa mazingira unaotokana na mrundiko wa matambara katika kaunti ya Kilifi, kundi moja la kina mama mjini Malindi limejitosa katika mradi wa kununua na kuchakata mabaki ya nguo na kuyabadilisha kwa kushona bidhaa zilizoboreshwa. Kina mama hawa sasa wanaweza kukidhi mahitaji yao kupitia biashara hii. Kama mwanahabari wetu Roba Liban anavyotuarifu kutoka Malindi.