2 Oct 2026 10:58 am | Citizen TV 1,466 views Duration: 1:16 Kinara wa chama cha TSP Mwangi Kiunjuri amesisitiza umuhimu wa viongozi kutoka mirengo yote miwili ya kisiasa nchini kupeana heshima kimatamshi wanapoendeleza siasa zao .