- 2,293 viewsDuration: 2:29Kinara wa chama cha UGM David Maraga ametoa ripoti ya jopokazi iliyosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu mageuzi katika huduma ya kitaifa ya polisi. akizingumza katika makao makuu ya chama hicho jijini Nairobi, Maraga amesema mageuzi hayo lazima yazingatiwe zaidi ya sare mpya, na mabadiliko ya haraka yanahitajika katika uajiri na uteuzi wa makamanda wakuu wa polisi