Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa DCP Gachagua adai kuna njama ya kuiba kura katika uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    5,914 views
    Duration: 1:26
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anadai kuna njama ya kuiba kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. akizungumza alipokutana na baadhi ya wakazi kutoka kaunti ya Isiolo leo nyumbani kwake wamunyoro kaunti ya Nyeri, gachagua anadai rais william ruto anashirikiana na tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kufanikisha njama hiyo.