- 3,033 viewsDuration: 3:16Rigathi Gachagua amesema serikali haipaswi kukandamiza wanahabari, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari na kulinda haki ya wananchi ya kupata habari. Aidha, ametoa wito kwa mamlaka kuhakikisha wanahabari wanafanya kazi zao kwa mazingira salama, bila vitisho, unyanyasaji au vikwazo vinavyoweza kuathiri uhuru wa uandishi wa habari.