- 3,473 viewsDuration: 2:24Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameendelea kuukosoa uongozi wa rais william ruto akisema umejaa ufisadi, na kuahidi kumuondoa mamlakani katika uchaguzi mkuu ujao. akizungumza katika makao makuu ya chama hicho hapa jijini nairobi Gachagua amemkaribisha mbunge wa kamkunji Yusuf Hassan aliyejiunga na chama hicho kutoka Jubilee.