Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa DCP Rigathi Gachagua asema hawana haraka kumtangaza mgombea urais

  • | Citizen TV
    8,636 views
    Duration: 3:31
    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua hii leo ametangaza kwamba mrengo wa upinzani hauna haraka ya kumtangaza atakayepeperusha bendera yao kuwania kiti cha Urasi akisema kwamba watamtangaza ikiwa imesalia miezi michache kabla ya uchaguzi. Gachagua alizungumza Huko Muranga alikohudhuria mazishi ya mamake mbunge wa Embakasi North James Gakuya ambapo mwakilishi wa wanawake kutoka lamu alifurushwa alipoteta uongozi wa Rais Ruto.