5 Oct 2026 1:10 pm | Citizen TV 13,605 views Duration: 1:27 Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameendelea kusisitiza kuwa yeye ndiye bora zaidi kuipeperusha bendera ya upinzani dhidi ya Rais William Ruto Kwenye kipute Cha mwaka 2027.