Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa PLP Karua awahimiza wanawake kuwania nyadhifa za kisiasa

  • | Citizen TV
    490 views
    Duration: 1:35
    Kinara wa PLP Martha Karua amewatia shime wanawake wenzake wajikakamue kuwania nyadhifa za kisiasa licha ya changamoto zilizopo. akizungumza kwenye mkutano wa muungano wa wabunge wanawake KEWOPA hapa jijini nairobi, Karua amewataka wagombea wanawake kutodhalilishana hata ikiwa wanatofautiana kisiasa.