Skip to main content
Skip to main content

Kindiki ahakikishia maafisa wa usalama kipaumbele katika huduma za afya

  • | Citizen TV
    665 views
    Duration: 1:39
    Serikali imetoa hakikisho kwa maafisa wa usalama kuwa mahitaji yao ya afya pamoja na familia zao yatapewa kipaumbele ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao bila wasi wasi. Naibu wa Rais Kithure Kindiki aliyeongoza hafla ya mahafali wa Idara ya Magereza katika Chuo cha Mafunzo cha Ruiru, Kaunti ya Kiambu, amesema Wizara ya Afya imeagizwa kuhakikisha maafisa wa kulinda magereza, polisi, wenzao wa kusimamia misitu na wanyama pori wana bima ya afya - SHA. Pamoja na Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen, wamewataka maafisa hao kudumisha nidhamu wanapoanza kazi.