31 Aug 2026 1:18 pm | Citizen TV 3,905 views Duration: 2:18 Naibu wa rais Kithure Kindiki ameitaka wizara wa afya, baraza la magavana na chama cha wauguzi nchini kuandaa vikao vya dharura ili kutatua mgogoro ambao ni chanzo cha mgomo wa wauguzi, ulioingia siku ya 33 hii leo.