Skip to main content
Skip to main content

Kindiki aonya wanaofadhili makundi ya wahuni

  • | Citizen TV
    1,063 views
    Duration: 1:27
    Naibu Rais Kithure Kindiki ameonya kuwa serikali itachukua hatua kali dhidi ya wanasiasa na watu binafsi wanaofadhili makundi ya wahuni kuvuruga amani na usalama nchini.