Skip to main content
Skip to main content

Kindiki asisitiza umuhimu wa kukamilika kwa barabara ya Rironi-Mau Summit

  • | Citizen TV
    979 views
    Duration: 57s
    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amesisitiza umuhimu wa kukamilishwa kwa ujenzi wa barabara kuu ya Rironi hadi Mau Summit, akisema mradi huo utaleta mageuzi makubwa katika sekta ya usafiri na uchumi wa taifa.