Skip to main content
Skip to main content

Kindiki ataka hatua za pamoja kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi baharini

  • | Citizen TV
    218 views
    Duration: 3:25
    Naibu Rais Kithure Kindiki ametaka juhudi za pamoja kuimarishwa ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi baharini. Akizungumza katika kongamano la 11 kuhusu bahari, Kindiki amelaumu kuendelea kufumbiwa macho kwa tatizo hilo licha ya hatari kubwa iliyopo. Waziri wa zamani wa masuala ya kigeni wa Marekani na mwanzilishi wa kongamano hilo John Kerry amesema kuwa asilimia kubwa ya magonjwa ya kisasa yanachochewa na plastiki zinazotupwa baharini.