- 1,133 viewsDuration: 2:40Viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kutetea utendakazi wa serikali ya Rais William Ruto wakielekeza mikutano ya kampeni Kaunti za Trans Nzoia na Tharaka Nithi. Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amezindua miradi ya maendeleo kaunti ya Tharaka Nithi akisema serikali ya Kenya Kwanza imeendelea kutimiza ahadi zake kwa wakenya.