- 690 viewsDuration: 3:02Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki ametetea uuzaji wa sehemu ya hisa za kampunı za serikali kwa wawekezaji wa kibinafsi. Kindiki amethibitisha kuwa serikali imepokea takriban shilingi bilioni 345 kutokana na uuzaji wa baadhi ya hisa zake za kampuni ya Kenya Pipeline na Safaricom PLC. Kindiki amesema fedha hizo zitahifadhiwa kwenye hazina ya kitaifa ya kufadhili Miundombinu.