Skip to main content
Skip to main content

Kindiki awaonya wakandarasi wazembe, ODM yataka mgombea mwenza

  • | Citizen TV
    2,884 views
    Duration: 2:29
    Naibu Rais Kithure Kindiki amewaonya wakandarasi wanaochelewesha miradi ya serikali, akisema kuwa wale watakaopatikana na uzembe watalazimika kuilipa serikali. Wakati huo huo, washirika wa serikali kupitia chama cha ODM wanasisitiza kuwa wanamtaka Rais William Ruto kumteua mmoja wao kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi mkuu ujao.