Skip to main content
Skip to main content

Kindiki awapongeza wahudumu wa matatu kwa kusitisha mgomo wa mafuta

  • | Citizen TV
    2,132 views
    Duration: 3:01
    Naibu Rais Kithure Kindiki amewapongeza wahudumu na wamiliki wa matatu nchini kwa kuitikia wito wa serikali wa kusitisha mgomo wa kulalamikia bei ya juu ya mafuta. Kindiki amesema kuwa serikali inaendelea kuangazia njia za kuhakikisha bei ya mafuta inapungua katika kipindi hiki cha mwezi mmoja.