- 570 viewsDuration: 2:59Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amewataka magavana na chama cha wauguzi kutatua kwa haraka mgomo wa wauguzi unaoendelea. Kwenye kikao cha Baraza la Pamoja la Serikali Kuu na Kaunti kuhusu masuala ya bajeti na uchumi, maafikiano pia yamefanywa kuwa magavana watawaajiri wafanyakazi wa UHC kwa kandarasi za kudumu. Makubaliano haya yanatarajiwa kumaliza mvutano kati ya magavana na Wizara ya Afya kuhusu ajira za wafanyakazi wa UHC. May Muoki anaaarifu.