Skip to main content
Skip to main content

Kindiki awataka Wakenya kujiandaa na El Niño

  • | Citizen TV
    1,034 views
    Duration: 1:13
    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki anawataka Wakenya kushirikiana na maafisa wa usalama na wale wa kukabiliana na majanga ili kujihadhari na mvua ya El Niño iliyotabiriwa kuanza katika sehemu kadhaa nchini.